Featured News

ISRAEL NKONGO: Kutoshtakiwa TFF na uongozi wa Mbeya City licha ya kuboronga
Uongozi wa timu ya Soka ya Mbeya City ya Jijini Mbeya umesema licha ya kutoridhishwa na maamuzi ya Mwamuzi, Israel Nkongo, katika pambano lao na Tanzania Prisons hapo jana, lakini hautamshitaki mwamuz...
Watoto waliofungwa minyororo wapatikana California
Wazazi wawili wamekamatwa huko California baada ya polisi kupata watu 13 waliokuwa wameshikiliwa mateka nyumbani kwao wakiwemo wengine waliofungiwa kwenye vitanda vyao kwa minyororo na makufuli.
Zaidi ya vijana 1,000 washtakiwa Denmark
Zaidi ya vijana 1,000 wameshtakiwa na polisi Denmark kwa kusambaza picha na video za ngono.
Gari larushwa hadi ghorofa ya Juu
Gari moja lililokuwa linaendeshwa kwa kasi katika jimbo la California liliruka na kuingia ndani ya ghorofa ya juu kwenye jumba moja baada ya kugonga uzio wa kutenganisha barabara, taarifa zinasema.
ISRAEL NKONGO: Kutoshtakiwa TFF na uongozi wa Mbeya...
Watoto waliofungwa minyororo wapatikana California
Zaidi ya vijana 1,000 washtakiwa Denmark
Gari larushwa hadi ghorofa ya Juu

Recent News

Uongozi wa timu ya Soka ya Mbeya City ya Jijini Mbeya umesema licha ya kutoridhishwa na maamuzi ya Mwamuzi, Israel Nkongo, katika pambano lao na Tanzania Prisons hapo jana, lakini hautamshitaki mwamuzi huyo mwenye Beji ya FIFA kwa Shirikisho la Soka nchini, TFF

Mashabiki wa Mbeya City hawakuwa tayari kupokea machungu ya kipigo cha mabao 3-2 kutoka kwa Tanzania Prisons na kumtupia lawama Mwamuzi mwenye Beji ya Shirikisho la Soka Duniani, FIFA, Israel Mujuni Nkongo, kwa madai kuwa hakuitendea haki timu yao katika maamuzi yake

Kauli za mashabiki hao zikaungwa mkono na uongozi wa timu hiyo

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stram

Youtube Channel

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.