Mahakama Kuu imemhukumu Muigizaji wa Filamu, Elizabeth Michael 'Lulu' kwenda jela.

Mwigizaji Elizabeth Michael "Lulu" amehukumiwa kifungo cha Miaka Miwili Jela baada ya kukutwa na hatia kwenye kesi ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba

Mahakama Kuu Tanzania ilikua inasubiriwa kutoa hukumu ya kesi ya kifo cha Mwigizaji Steven Kanumba ambayo ilikua inamkabili Mwigizaji Elizabeth Michael “Lulu” ambae alikua mpenzi wake.

Mahakama kuu ya Tanzania imemuhukumu Mwigizaji huyo kwenda jela miaka miwili kufuatia kesi iliyokua ikimkabili ya kumuua bila kukusudia Mwigizaji Steven Kanumba.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.