Tume  ya Taifa ya uchaguzi NEC imesema ni marufuku kufanya mikutano ya siasa Kwenye kampeni za uchaguzi wa madiwani zinazoendelea nchini.

NEC imesema chama kina ruhusa kumnadi mgombe wake akiwa katika kata anayogombea na ni marufuku kufanya kampeni katika Kata isiyohusika hata kama ni jirani.

NEC imesema katika mikutano ya siasa chama hakitaruhisiwa kuzungumza mambo yaliyonje na kampeni

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.