Featured News

Trump akubali mualiko wa kukutana na Kim Jong Un
Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,,,,
Wanawake DRC wanapigania haki zao kumiliki ardhi
Wanawake wanaoishi vijijini huko Jamhumuri ya Kidemokrasi ya Kongo, hawana haki ya urithi wa mali pamoja na ardhi iliyoachwa na wazazi wao au waume zao. Na hii inatokana na mila na desturi zao zinazom...
Rais Kenyatta, Odinga wakutana, waapa kufanya kazi pamoja
Kwa mara ya kwanza baada ya Uchaguzi Mkuu nchini Kenya uliofanyika October 2017, na kuleta mkanganyiko mkubwa wa kisiasa nchini humo, Rais Uhuru Kenyatta na Kiongozi wa Upinzani wa NASA Raila Odinga l...
Ujumbe mkongwe zaidi uliohifadhiwa kwenye chupa
Familia moja nchini Australia umepata ujumbe ambao ni mkongwe zaidi uliokuwa umehifadhiwa katika chupa..
Trump akubali mualiko wa kukutana na Kim Jong...
Wanawake DRC wanapigania haki zao kumiliki ardhi
Rais Kenyatta, Odinga wakutana, waapa kufanya kazi pamoja...
Ujumbe mkongwe zaidi uliohifadhiwa kwenye chupa

Recent News

Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,,,, Rais Donald Trump wa Marekani amekubali ombi la Kiongozi wa Korea kaskazini Kim Jong Un la kutaka wakutane mapema ndani ya mwezi mei mwaka huu,na hivyo kuweka historia kufuatia kuwa kutokuwepo rais wa Marekani ambaye amewahi kuonana na kiongozi mkuu wa Korea kaskazini

Hata hivyo mahala watakapokutana viongozi panasalia kuwa siri kwa sasa,na pia Marekani imesisitiza kuwa pamoja na kukubali ombi hilo la rais Kim Jong Un laini bado vikwazo

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stram

Youtube Channel

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.