Waziri wa Habari, Sanaa , Utamaduni na Michezo Harrison Mwakyembe amesema wizara hiyo imeandaa mashindano kwa vijana wote wa Kike hapa nchini wenye vipaji katika mchezo wa Raidha ili waweze kuonyesha uwezo wao kwa kushindanishwa Kiwilaya, kimkoa na Kitaifa.

Akitoa kauli ya Serikali Bungeni Dr. Harrison Mwakyembe anasema katika kufanikisha mashindano hayo wizara yake imeshirikiana shirika la Kimataifa JAICA ambapo kitaifa yatafanyika Jijini Dar es saalam mnano November 25 na 26 mwaka huu.

Picha na mtandao.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.