Timu ya taifa ya peru imetimiza idadi ya mataifa 32 yatakayosafiri kwenda nchini urusi KUCHEZA kombe la dunia litakalopigwa juni mwaka 2018.

Timu ya taifa ya Peru kutoka bara la Amerika Kusini imefanikiwa kutinga katika mashindano hayo yanayofanyika kila baada ya miaka mi 4 baada ya kuifunga timu ya taaifa ya new zaland mabao ma 4 bila majibu katika hatua ya mtoano mchezo uliopigwa asubuhi ya leo.

Mabao ya peru yamefungwa na Jefferson Farfan dakika ya 28 ya mchezo kabla ya Christian Ramos kuhitimisha kalama ya mabao kwa kufunga bao la pili dakika ya 65 na kuzima kabsa ndoto za new zaland kucheza kombe la dunia mwaka 2018.

Hatua ya makundi iliyoanza toka mwaka 2015 imehitimishwa leo kwa mchezo mwisho kati ya peru na new zaland ambapo kwa upande wa bara la amerika kusini peru Anaungana na timu za Brazil, Uruguay, Argentina na Colombia.

Picha na mtandao.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.