Katika wiki ya utalii ambayo hufanyika kila mwishoni mwa mwaka wananchi wanaotoka wilaya ya Nyasa hukusanyika na kufanya utalii wa ndani pamoja na kutathimini mambo mbali mbali yanayohusu elimu na utamaduni pamoja na jinsi ya kuimarisha uchumi.

Mwaka huu viongozi wa Mkoa wamejitokeza wiki ya utalii na kuhiza jamii za mataifa mbambali kwenda wilaya ya nyasa.

Mkuu wa mkoa wa Ruvuma akiwa katika utali wandani aliainisha vivutio vya wilaya ya nyasa kiwemo kisiwa cha pomonda, kisiwa cha lundo pamoja na mapango ya matope.mchanga laini katika ufukwe na samaki wa mapambo.

Mkuu wa mkoa akiongelea kuhusu usafiri katika ziwa Nyasa amesema kwa sasa serikari ina jenga bandari na kufanya upanuzi wa bandari pia zoezi la kutathmini mali za watu walio karibu na bandari unaendelea.

Wilaya ya Nyasa ni moja ya wilaya yenye histori ya mambo ya utalii kisiwa cha Pomonda ni kisiwa ambacho kilikuwa ni kimbilio la watu katika vita vikuu vya kwanza vya dunia watu mia mbili hamsini waliweza kujificha,pia kisiwa cha Lundo ni kisiwa kilicho tumika kuwatunza watu wenye ukoma pamoja na yote watu hufaidi kuona milima ya Livingstone ,katika wikii ya utali kuna kuwa na mashindano ya ngoma mbalimbali za utamaduni.

Picha na mtandao.

Latest News

Diamond ahojiwa na Polisi kuhusu picha za mitandaoni
17 Apr 2018 12:43 - Joseph Musyoka

Mwanamziki maarufu wa Bongo fleva Nasibu Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz amekuwa akihojiwa na Polisi kuhusu video il [ ... ]

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki
16 Apr 2018 11:22 - RobinLeah Madaha

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki.

Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja Somalia
16 Apr 2018 09:23 - RobinLeah Madaha

Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuh [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.