Aliekuwa meneja wa klabu ya Stoke City Mark Hughes ametupiwa vialago klabu hapo kwa matokeo mabovu.

Hughes meneja wa zamani wa Manchester city,Blackburn Rovers,Fulham na QPR amesema kuondoka kwake Stoke city huenda ni Baraka kwa mwaka huu kwa upande wake.

Mwaka 2018 Hughes alichukua nafasi ya Tony Puzi na amekuwa meneja wan ne kukaa kwa muda mrefu ndani ya ligi kuu ya England lakini kipigo cha bao 2-1 dhidi ya convetry city katika kombe la FA kimehalalisha safari yake ya kukalia kuti kavu ndani ya klabu hiyo.

Stoke city wanakutana na Manchester United January 15 katika ligi kuu ya England na uongozi wa stoke umesema utamteua kocha mwingine haraka iwezekanavyo kuziba nafasi ya Hughes na kuwatuliza mashabiki wanaobeba mabango yakumtaka Boss huyo kuondoshwa kikosini.

Picha na mtandao.

Latest News

Diamond ahojiwa na Polisi kuhusu picha za mitandaoni
17 Apr 2018 12:43 - Joseph Musyoka

Mwanamziki maarufu wa Bongo fleva Nasibu Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz amekuwa akihojiwa na Polisi kuhusu video il [ ... ]

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki
16 Apr 2018 11:22 - RobinLeah Madaha

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki.

Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja Somalia
16 Apr 2018 09:23 - RobinLeah Madaha

Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuh [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.