Nyota wa tennis Nick Kyrgios ameanza vyema mwaka 2018 kwa kufanikiwa kutwaa taji la kwanza la ATP tour katika mashindano ya kimataifa ya Brisbane.

Kyrgios akicheza katika ardhi ya nyumbani Australia amemfunga Yan Harrison kwa 6-4 6-2 na kuosha nyota kwa mwaka huu.

Bingwa namba 21 katika ubora wa tenisi kwa wanaume huenda ikawa safari ya matumaini anapojiandaa kwa mashindano ya wazi tennis Australian yatakayoanza January 15 japo anayo hofu ya kufikia hatua nzuri kutokana na maumivu ya goti.

Picha na mtandao.

Latest News

Diamond ahojiwa na Polisi kuhusu picha za mitandaoni
17 Apr 2018 12:43 - Joseph Musyoka

Mwanamziki maarufu wa Bongo fleva Nasibu Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz amekuwa akihojiwa na Polisi kuhusu video il [ ... ]

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki
16 Apr 2018 11:22 - RobinLeah Madaha

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki.

Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja Somalia
16 Apr 2018 09:23 - RobinLeah Madaha

Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuh [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.