Serikali imetoa utaratibu maalumu kwa watu wanaokwenda kupiga picha katika Daraja la Nyerere, Kigamboni

Serikali imetoa utaratibu maalumu kwa watu wanaokwenda kupiga picha katika Daraja la Nyerere, Kigamboni ili kuhakikisha usalama wa watumiaji wa barabara, fedha zinazokusanywa, wapiga picha wenyewe, pamoja na kuondoa usumbufu unaoweza kujitokeza.Wapigapicha watalazimika kuomba kibali kwenye Ofisi Mkurugenzi Mkuu. Gharama za upigaji picha kwa matukio maalumu (harusi, kwaya, wasanii) ni Tsh 250000 kwa saa moja. Wanaopiga picha moja moja (selfie) hawatolipa, lakini wametakiwa kuchukua tahadhari ya usalama wao.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.