Star Tv

Saa chache baada ya Mbunge wa Kigoma Mjini Zitto Kabwe kukamatwa na Jeshi la Polisi na kupelekwa katika kituo cha polisi cha Chang’ombe Dar es salaam

Aliachiwa kwa dhamana lakini amekamatwa tena na kupelekwa kituo cha Polisi cha Kamata kwa ajili ya mahojiano zaidi.
Katibu na itikadi na uenezi wa ACT WAZALENDO amesema “Baada ya kukamatwa tena amepelekwa kwenye kituo cha Polisi Kamata, hatufahamu ni sababu gani zilizofanya akakamatwa tena, tuna tafsiri kama Chama mwenendo wa sasa wa kumshughulikia Zitto ni kujaribu kumnyamazisha

Latest News

Mzawa wa Zanzibar ashinda Turner Prize.
06 Dec 2017 08:51 - RobinLeah Madaha

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa 'Turner Prize 2017'katika t [ ... ]

Carlifonia- Maelfu ya makazi yateketezwa .
06 Dec 2017 08:04 - RobinLeah Madaha

Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kw [ ... ]

Trump atambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
06 Dec 2017 07:47 - RobinLeah Madaha

Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kuwa rais Donald Trump, leo atautambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel [ ... ]

Other Articles

Social Media

Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement

Copyright © 2017 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.