Star Tv

Featured News

Faida ya Kunywa Vikombe 3 vya kahawa kwa siku kiafya'
Unywaji wa kahawa kiasi ni salama , na vikombe vitatu kwa siku vya kahawa vinaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya , kulinga na utafiti uliofanywa na BMJ.
Raia wa Uingereza aliyeiomba mahakama imfunge''
Baada ya kupigwa marufuku kuomba na kulala ovyo ovyo kwenye veranda za maduka katika mji wa Middlesbrough, Bradley Grimes alimuomba jaji wa mahakama ammpeleke gerezani kuliko kumuacha bila makazi .
Polisi wavamia wahamiaji Papua New Guinea
Polisi wa Papua New Guinea (PNG) wameingia katika kituo cha mahabusu cha wahamiaji kilichokuwa kinamilikiwa na Australian kwa azma ya kuwaondosha wanaoomba uhamiaji waliosalia, imethibitisha serikali ...
Emmarson Mnangagwa Atarajiwa kuiongoza Zimbabwe
Ni siri iliyofichuka nchini Zimbabwe kwa miaka mingi kwamba Emmerson Mnangagwa alitaka kumrithi Robert Mugabe kama rais.
Faida ya Kunywa Vikombe 3 vya kahawa kwa...
Raia wa Uingereza aliyeiomba mahakama imfunge''
Polisi wavamia wahamiaji Papua New Guinea
Emmarson Mnangagwa Atarajiwa kuiongoza Zimbabwe

Recent News

Faida ya Kunywa Vikombe 3 vya kahawa kwa siku kiafya'

Unywaji wa kahawa kiasi ni salama , na vikombe vitatu kwa siku vya kahawa vinaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya , kulinga na utafiti uliofanywa na BMJ

Utafiti huo ulibaini kuwa unywaji wa kiasi hicho cha kahawa unaweza kumfanya mnywaji kupunguza hatari ya kupata magonjwa ya ini na saratani na kupunguza kiwango cha klupata kiharus - lakini watafiti hao wanasema hawawezi kuthibitisha kuwa kahawa ndio sababu ya upungufu wa athari hizo

Unywaji wa kiwango kikubwa cha kahawa wakati wa ujauzito uhaweza kuwa hata hatari , umethibitisha utafiti huo

Wataalam wanasema hata hivyo kuwa watu

Read More

World News

Faida ya Kunywa Vikombe 3 vya kahawa kwa siku kiafya'

Unywaji wa kahawa kiasi ni salama , na vikombe vitatu kwa siku vya kahawa vinaweza kuwa na faida kadhaa za kiafya , kulinga na utafiti uliofanywa na BMJ.

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stram

Youtube Channel

Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement

Copyright © 2017 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.