Star Tv

Baraza la usalama la umoja wa mataifa limepiga kura kwa kauli moja kuiwekea vikwazo Korea Kaskazini kama adhabu ya kufanyia majaribio zana zake za nuklya.Vikwazo hivyo vinalenga kuhujumu uwezo wa Pyongyang kufadhili na kutoa mpango wake wa nuklya.

Vikwazo hivyo vilevile vinatoa masharti kwa biashara ya kununua mafuta ya Korea Kaskazini mbali na kupiga marufuku uuzaji wa nguo katika mataifa ya kigeni.

Maamuzi hayo ya baraza la usalama la umoja wa mataifa yaliungwa mkono kwa wingi wa kura baada ya Marekani kuondoa mpango wake wa kutaka uungwaji mkono kutoka Urusi na China

Latest News

MWILI WA MAREHEMU WAFUKULIWA
17 Nov 2017 11:55 - Mohamed Mnzava

Mahakama ya hakimu Mkazi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro imeamuru kufukuliwa kwa Kaburi palipozikwa mwili wa mtu mmoja... [ ... ]

Mugabe aonekana hadharani kwa mara ya kwanza
17 Nov 2017 11:44 - Mohamed Mnzava

Rais wa Zimbabwe Robert Mugabe ameonekana hadharani kwa mara ya kwanza tangu jeshi la nchi hiyo lichukue madaraka siku y [ ... ]

Mugabe 'akataa wito wa kumtaka ajiuzulu'
17 Nov 2017 08:35 - Mohamed Mnzava

Rais wa miaka mingi nchini Zimbabwe anaripotiwa kukataa kuandoka madarakana mara moja licha ya kuongezeka wito wa kumtak [ ... ]

Other Articles

Social Media

Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement

Copyright © 2017 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.