Uchache wa madarasa, utoro wa wanafunzi na walimu unadaiwa kuwa chanzo cha wanafunzi kufeli masomo yao wakati muunganiko wa ushirikiano baina ya wazazi na walimu ukiongeza nafasi ya kufeli kwa wanafunzi na kutojua kusoma kwa asilimia 28 nchi nzima.

Wanafunzi wanasema kuwa kubanana madarasani ndiko kunasabaisha baadhi ya wanafunzi kufika mpaka darasa la saba kuto jua kusoma. Inadaiwa kuwa kuwekwa nguvu kubwa katika madarasa ya saba na nne ndio huenda kikawa chanzo cha wanafunzi wengi kuhitimu elimu ya msingi wakiwa jui kusoma.

Halmshauri ya Mji wa Njombe inadaiwa kuwa ina asilimia 55 ya wanafunzi wanao jua kusoma na wamepita darasa la pili, wakati asilimia zinazo baki ni wale ambao hawajuu kusoma na kufanya hesabu za darasa la pili kwa mujibu wa utafiti wa Twaweza mwaka 2015.

Utafiti huo umefanyika nchi nzima na kubaini mapungufu mabilimbali na hakuna waliyo tafiti na kufika asilimia 100, hasa serikali ikiwa inatoa elimu bila malipo kwa wanafunzi wa shule za msingi na sekondari.

Picha na mtandao.

Latest News

Amtumia ndugu yake kutoroka jela
14 Feb 2018 14:15 - Mohamed Mnzava

Mamlaka nchini Peru zimemkamata mfungwa zaidi ya mwaka mmoja tangu atoroke jela kwa kumuacha ndugu yake pacha katika naf [ ... ]

Ukame Cape Town umekuwa 'Janga la kitaifa'
14 Feb 2018 14:05 - Mohamed Mnzava

Afrika kusini imetangaza ukame unaoshuhudiwa Cape Town - mji unao elekea kuishia bila ya hata tone la maji - kuwa janga  [ ... ]

Waziri Mwigulu azungumzia kampeni kuhusishwa na tukio la Mbunge Lissu
14 Feb 2018 13:51 - Mohamed Mnzava

Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Mwigulu Nchemba amewataka wanasiasa kuacha kutumia kesi ya kuumwa kwa Mbunge wa Singida [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.