Mahakama ya hakimu Mkazi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro imeamuru kufukuliwa kwa Kaburi palipozikwa mwili wa mtu mmoja.......

Mahakama ya hakimu Mkazi mjini Moshi Mkoani Kilimanjaro imeamuru kufukuliwa kwa Kaburi palipozikwa mwili wa mtu mmoja aliyekutwa akiwa amefariki dunia katika Mto Ghona ulio Karibu na shule ya sekondar Scolastica  ili ufanyiwe vipimo vya uchunguzi ili kubaini kama ni mwili wa Mwanafunzi Humphrey Makundi  aliyekuwa anasoma shule ya sekondari Scolastica baada ya kutoweka shuleni hapo tangu Novemba 07 mwaka huu bila taarifa zozote.Mwili huo ulizikwa na Manispaa ya Moshi Novemba 12 mwaka huu baada ya kile kilichodaiwa kukosekana kwa ndugu na jamaa wa kutambua mwili huo ambayo ulihifadhiwa katika hospitality ya Mkoa ya Mawenzi iliyopo mjini moshi
 Zoezi hili linafanyika muda huu katika makaburi ya Karanga yaliyopo katika Manispaa ya Moshi.

Picha na mtandao.

Latest News

Diamond ahojiwa na Polisi kuhusu picha za mitandaoni
17 Apr 2018 12:43 - Joseph Musyoka

Mwanamziki maarufu wa Bongo fleva Nasibu Abdul Juma maarufu Diamond Platnumz amekuwa akihojiwa na Polisi kuhusu video il [ ... ]

Mwanasiasa wa Kenya Kenneth Matiba amefariki
16 Apr 2018 11:22 - RobinLeah Madaha

Mwanasiasa shupavu wa upinzani nchini Kenya Kenneth Stanley Njindo Matiba amefariki.

Mshairi kufungwa jela kwa kuhamasisha umoja Somalia
16 Apr 2018 09:23 - RobinLeah Madaha

Mahakama ya serikali iliyojitenga ya Somaliland imemfunga jela miaka mitatu ,msichana anayeimba mashairi kwa kosa la kuh [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2018 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.