Star Tv

Featured News

Carlifonia- Maelfu ya makazi yateketezwa .
Karibu watu 27,000 walilazimishwa kukimbia manyumba yao usiku wa manane wakati moto mkubwa ulisamba kwa haraka kusini kwa jimbo la Carlifonia.
Trump atambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel.
Maafisa wa serikali ya Marekani wamesema kuwa rais Donald Trump, leo atautambua mji wa Jerusalem kama mji mkuu wa Israel. Ikulu ya White House imethibitisha kuwa rais Donald Trump pia atazungumza kuhu...
Marekani yaitaka dunia kusitisha biashara na Korea Kaskazini
Marekani imetoa wito kwa mataifa mbalimbai kukata uhusiano wake wa kidiplomasia na kibiashara na Korea Kaskazini, ikiwa ni hatua ya kupinga majaribio ya makombora ambayo yamekuwa yakifanywa na taifa h...
Rais Trump amshutumu waziri mkuu wa Uingereza Theresa May
Rais Donald Trump amemwambia waziri mkuu wa Uingereza Theresa May kuangazia ugaidi nchini Uingereza badala ya kumkosoa kwa kusambaza video za kundi la mrengo wa kulia la Uingereza ambalo linaeneza chu...
Carlifonia- Maelfu ya makazi yateketezwa .
Trump atambua Jerusalem kuwa mji mkuu wa Israel....
Marekani yaitaka dunia kusitisha biashara na Korea Kaskazini...
Rais Trump amshutumu waziri mkuu wa Uingereza Theresa...

Recent News

Mzawa wa Zanzibar ashinda Turner Prize.

Profesa Lubaina Himid ni mzaliwa wa Zanzibar ambaye ni mtanzania ametangazwa kuwa mshindi wa 'Turner Prize 2017'katika tuzo kubwa za Sanaa nchini Uingereza

Himid amekuwa mshindi mwenye umri mkubwa wa miaka 63 kwenye tuzo hizo

Tuzo hizo zilikuwa wazi kwa watu walio na umri wa chini ya miaka 50,lakini sheria hiyo ilibadilishwa mwaka huu

Majaji wamempa Tuzo kwa maonesho matatu yaliyofanyika Oxford, Bristol na Nottingham ambapo waliisifu kazi yake ambayo inaangazia Afrika duniani kote pamoja na ubunifu wa mtu mweusi jambo ambalo wameliita namna nzuri ya ubunifu

Profesa Himid ambaye ni

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star Tv - Live Stram

Youtube Channel

Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement
Star Tv - Advertisement

Copyright © 2017 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.