Star Tv

Featured News

WATU WATANO WAFARIKI BAADA 'KUSHIKWA MATEKA' KANISANI.
Watu watano wameuawa baada ya washambuliaji kuvamia kanisa moja Afrika Kusini wakati malumbano yanaendelea juu ya uongozi wa kanisa hilo.
RAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SAMIA KUWA MGOMBEA MWENZA.
Rais Magufuli amemchagua Samia Suluhu Hassan, kuwa mgombea mweza katika Uchaguzi wa Urais wa Tanzania, Oktoba 2020.
  TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO.
Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo endelevu.
 Breaking News: DKT HUSSEIN MWINYI APITISHWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR.
Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura 129 sawa na asilimia 78.65 akiwashinda wenzake wawili Shamsi Vuai Nahodha na Dkt...
WATU WATANO WAFARIKI BAADA 'KUSHIKWA MATEKA' KANISANI.
RAIS MAGUFULI AMTEUA MAMA SAMIA KUWA MGOMBEA MWENZA....
TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO.
Breaking News: DKT HUSSEIN MWINYI APITISHWA KUWA...

Recent News

WATU WATANO WAFARIKI BAADA 'KUSHIKWA MATEKA' KANISANI.

Watu watano wameuawa baada ya washambuliaji kuvamia kanisa moja Afrika Kusini wakati malumbano yanaendelea juu ya uongozi wa kanisa hilo

Polisi Afrika Kusini imesema kwamba wamewanusuru wanaume, wanawake na watoto waliokuwa wametekwa nyara viungani mwa mji wa Johannesburg Jumamosi asubuhi

Pia polisi wamewakamata watu karibia 40 na kunasa silaha kadhaa

Walioshuhudia kisa hicho wanasema kwamba wanaume waliovamia kanisa la International Pentecostal Holiness walikuwa sehemu ya kundi pinzani

Inasemekana kwamba uongozi wa kanisa hilo ni suala ambalo limekuwa likizua vurugu tangu aliyekuwa

Read More

Media Content

Radio Free Africa - Live

Kiss FM - Tanzania - Live

Star TV - Live Stream

Youtube Channel

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.