Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB) kutumia vifungu vya sheria vitakavyowabana watumiaji wa barabara wanaoegesha magari kwenye mabega ya barabara, wanaoiba alama za barabarani pamoja na wanaopitisha mifugo kwenye barabara
Mhandisi Kasekenya ameyasema hayo, alipotembelea ofisi za Mfuko huo zilizoko Njedengwa, jijini Dodoma ili kujifunza shughuli zinazofanywa na mfuko huo
Simamieni sheria na muwachukulie hatua wale wote wanaohujumu miundombinu ya barabara kwa namna moja ama nyingine ili tuzilinde barabara zetu na
Read MoreCopyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.