Umoja wa Mataifa na serikali katika Jamhuri ya Afrika ya kati (CAR) wamesema waasi nchini humo wamefanya mashambulio mawili karibu na mji mkuu wa Bangui.
Add a commentTaifa la Malawi limepata pigo kubwa baada ya mawaziri wake wawili kufariki dunia kutokana na ugonjwa wa COVID 19.
Add a commentRais wa Zimbabwe Emmerson Mnangagwa amezungumzia vurugu zilizotokea Marekani baada ya wafuasi wa Rais Donald Trump kuvamia jengo la bunge Capitol Hill.
Add a commentUchunguzi umeanzishwa nchini Ufaransa baada ya kutoweka kwa mwanafunzi Msenegali mwenye kipaji ambaye alikuwa akisoma katika shule ya kifahari mjini Paris.
Add a commentKampuni ya mafuta ya Total imewaondoa maelfu ya wafanyakazi wake katika visima vya mafuta vilivyopo Kaskazini mwa Msumbiji.
Add a commentNaibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB) kutumia vifungu [ ... ]
Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo ki [ ... ]
Rais mteule wa Marekani Joe Biden aliwasili Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wa [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.