Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo kikuu cha Oxford mwezi ujao, kulingana na shirika la habari la Reuters.
Add a commentRwanda imetoa agizo la kufunga tena shule zote za umma kuanzia Januari 18, 2021 leo Jumatatu.
Add a commentRais wa Uganda Yoweri Museveni anaongoza kwa kura kura nyingi katika matokeo ya awali yaliyotolewa nana Tume ya uchaguziIjumaa asubuhi.
Add a commentRais wa muda mrefu nchini Uganda Yoweri Museveni jana Jumamosi ameonya kuwa vikosi vya usalama vitatumia nguvu kuzima juhudi zozote za kuzua ghasia baada ya kuchaguliwa kwake tena.
Add a commentMamlaka nchini Uganda ilikatiza huduma za intaneti saa kadhaa kabla ya uchaguzi wa urais unaokumbwa na ushindani mkali kati ya Bobi Wine na Yoweri Museveni.
Add a commentYoweri Museveni ametangazwa kuwa rais mteule wa Uganda baada ya kupata ushindi wa kura asilimia 58.64.
Add a commentRaia wa Uganda hii leo Januari 14,2021 wanapiga kura kumchagua rais na wawakilishi wapya wa bunge.
Add a commentMgombea wa urais nchini Uganda, Bobi Wine amepinga matokeo ya uchaguzi ambayo yametangazwa hadi sasa na kujitaja binafsi kama rais mteule, licha ya tume ya uchaguzi kusema kuwa sio kura zote zilizokwisha hesabiwa.
Add a commentMwenyekiti wa tume ya uchaguzi nchini Uganda, Jaji Simon Byakama ametangaza kuwa kuanzia leo mtu yeyote hatakiwi kufanya kampeni za namna yeyote ile.
Add a commentNaibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB) kutumia vifungu [ ... ]
Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo ki [ ... ]
Rais mteule wa Marekani Joe Biden aliwasili Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wa [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.