Mashambulizi ya anga yaliyofanywa dhidi ya eneo linalolidhibitiwa na wapiganaji wa jihadi la Kaskazini-Magharibi mwa Syria yameua kiasi raia 10.

Hayo yameelezwa na kundi linalofuatilia haki za binadamu nchini Syria lenye makao yake nchini Uingereza. Watu saba waliuwawa katika kijiji cha Sarja kilichoko katika mkoa wa Idlib ambao kwa sehemu kubwa unadhibitiwa na kundi la Hayat Tahrir al Sham, ambalo wanachama wake wengi waliwahi kuwa na mafungamano na mtandao wa kigaidi wa al Qaeda nchini Syria.

CHANZO: Idhaa ya Kiswahili ya DW

Latest News

TTB Kusimamia masoko ya Tumbaku.
15 Jun 2019 10:21 - Kisali Shombe

Bodi ya tumbaku nchini,TTB imetoa onyo kwa watendaji¬†¬†wa makampuni ya ununuzi wa tumbaku wanaokwenda kinyume na sheria [ ... ]

Jeshi la Sudan lakiri vikosi vya usalama vilikiuka sheria
15 Jun 2019 10:11 - Kisali Shombe

Baraza la kijeshi linalotawala Sudan limekiri kwamba vikosi vya usalama vilikiuka sheria wakati wa kuwatawanya waandaman [ ... ]

Wizi wa umeme, Dar es Salaam
15 Jun 2019 09:59 - Kisali Shombe

Shirika la umeme nchini Tanesco Kanda ya Dar es salaam limefanya ukaguzi wa akaunti za luku eneo la Mchikichini wilaya y [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2019 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.