Kansela wa Austria Sebastian Kurz aliyeondolewa madarakani jana Jumatatu kupitia kura ya bunge ya kutokuwa na imani naye na hivyo kupisha njia kwa ajili ya uchaguzi mpya, ameapa kwamba chama chake kilicho na siasa za wastani za mrengo wa kulia kitarejea katika uongozi kikiwa na nguvu zaidi.
Add a commentRaia nchini Ufaransa na Ujerumani wanapiga kura leo katika siku ya mwisho ya uchaguzi wa Bunge la Ulaya ambapo vyama vinavyopinga Umoja wa Ulaya pamoja na uhamiaji vinatumai kutoa changamoto kubwa.
Add a commentMorocco imesema inatumia mbinu mpya katika kukabiliana na wimbi la wahamiaji wanaotaka kuitumia kama njia ya kuingilia Ulaya, na imefanikiwa kuwazuia wahamiaji 25,000 waliojaribu kuingia Uhispania kupitia njia ya Gibraltar kwa mwaka huu pekee.
Add a commentRais wa zamani wa Argentina Cristina Fernandez de Kirchner amefunguliwa mashitaka ya rushwa, siku tatu baada ya kutangaza kuwania nafasi ya makamu wa rais katika uchaguzi wa Oktoba.
Add a commentLeo ni Siku ya Uhuru wa Vyombo vya Habari Duniani, ambapo Umoja wa Mataifa umetumia siku hii kuwatunuku waandishi wawili wa shirika la habari la Reuters wanaotumikia kifungo cha miaka saba nchini Myanmar tuzo ya juu kabisa ya uhuru wa vyombo vya habari.
Add a commentNaibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mhandisi Godfrey Kasekenya, ameitaka Bodi ya mfuko wa Barabara (RfB) kutumia vifungu [ ... ]
Kenya inatarajia kupokea dozi milioni 24 za chanjo ya ugonjwa corona iliyotengenezwa na kapuni ya Astrazeneca na chuo ki [ ... ]
Rais mteule wa Marekani Joe Biden aliwasili Washington katika mkesha wa sherehe ya kuapishwa kwake, wakati mtangulizi wa [ ... ]
Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.