Star Tv

Baraza la Madiwani katika Halmashauri ya Wilaya ya Busega mkaoni Simiyu, limeomba kuanza kusikilizwa kwa kesi za mahakama ya wilaya ndani ya wilaya hiyo ili kuwaondolea usumbufu wananchi wa kusafiri kufuata huduma hiyo mjini Bariadi.

Hatua hii ya Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Busega, imekuja kufuatia tangu kuanzishwa wilaya hiyo mwaka 2012 mpaka sasa kutokuwa na mahakama ya wilaya Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya hiyo, Sundi Mniwe, anaweka msisitizo juu ya jambo hilo, huku Mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Busega, Afisa Tarafa ya Busega, David Palangyo akielezea pia.

Latest News

NIGERIA YAPOKEA NDEGE SITA ZA KUPAMBANA NA WAASI.
23 Jul 2021 14:50 - Grace Melleor

Nigeria imepokea ndege sita za kijeshi iliyonunua kutoka Marekani, ambazo zinatarajiwa kupiga jeki juhudi za kukabiliana [ ... ]

WATU KADHAA WAKAMATWA KWA JARIBIO LA KUTAKA KUMUUA RAIS RAJOELINA.
22 Jul 2021 13:15 - Grace Melleor

Raia kadhaa wa mataifa ya kigeni pamoja na wengine wa nchini Madagascar wanashikiliwa na mamlaka nchini humo kwa tuhuma  [ ... ]

HABARI ZA HIVI PUNDE: ANNA MGHWIRA AFARIKI DUNIA.
22 Jul 2021 10:55 - Grace Melleor

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefariki dunia leo Julai 22, katika Hospitali ya Mount Meru.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.