Star Tv

Aliyewahi kuwa Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Anna Mghwira amefariki dunia leo Julai 22, katika Hospitali ya Mount Meru.

Ndugu pamoja na marafiki wa karibu wa Mghwira wamethibitisha juu ya taarifa ya kifo chake, Ambapo wamesema alifariki wakati akipatiwa matibabu ya tatizo la kushindwa kupumua katika Hospitali hiyo iliyopo jijini Arusha.

Anna Mghwira aliwahi kugombea Urais mwaka 2015 kupitia Chama cha ACT-Wazalendo akichuana na wagombea wa vyama vingine kikiwemo Chama Cha Mapinduzi CCM, Ambapo Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliibuka mshindi wa Urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka huo.

Tutaendelea kukuletea taarifa zaidi, endelea kutufuatilia.

 

Latest News

ALGERIA YATANGAZA SIKU 3 ZA KUOMBOLEZA KIFO CHA RAIS BOUTEFLIKA.
18 Sep 2021 18:38 - Grace Melleor

Kiongozi wa Algeria ametangaza siku tatu za maombolezo kuanzia leo hii, kufuatia kifo cha Rais wa zamani wa taifa hilo,  [ ... ]

WAZIRI MKUU AAGIZA UCHUNGUZI UFANYIKE KATIKA UJENZI UNAOSUASUA.
18 Sep 2021 18:24 - Grace Melleor

Waziri mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza mkuu wa mkoa wa Kagera Meja Jenerali Charles Mbuge kufuatilia kwa karibu ujenzi w [ ... ]

WAZIMBABWE AMBAO HAWAJACHANJWA WAZUIWA KUFANYA KAZI.
15 Sep 2021 14:18 - Grace Melleor

Zimbabwe imewazuia wafanyakazi wa umma ambao hawajanjwa kwenda kazini.

Other Articles

Social Media

Copyright © 2021 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.