Star Tv
Baadhi ya wakulima wa  Pamba  Wilayani Sengerema mkoani Mwanza  , wamesema   kukosena  kwa mnunuzi wa zao la Pamba  tangu  msimu  ulipofunguliwa     umesababisha maisha kuwa ghalikutokana na ukosefu wa fedha.   Wananchi wa kijiji cha Lugongo  kata ya Kasenyi  wamseama mpaka sasa hawajapata ufumbuzi juu ya malipo  yao  ya  mauzo ya  Pamba licha ya viongozi  wanauhuska  katika malipo  wakitoa ahadi kila kukicha

Kwa upande wake  Katibu  wa Chama  cha  wakulima  wa pamba  katika kijiji cha  lugongo  Alex  Mahilane  amesema amekusanya    tani  68  za pamba  na zimeifadhiwa  kwenye ghala  zikiwa na thamani ya  shilingi  Milion  81.6  ambapo  kati ya fedha hizo  hakuna pesa ambayo  imeshalipwa  kwa wauzaji  wa zao hilo.

Mkuu wa Wilaya ya Sengerema  Emmanuel Kipole   akitolea ufafanuzi suala hilo amesema kuwa wilaya ya  Sengerema  mpaka sasa haijapata mnunuzi  ambapo amewataka wakulima kuwa na subra wakati serikali ikiendelea kulitafutia ufumbuzi suala hilo.
 
 

Latest News

TANZANIA, CHINA ZAAHIDI KUENDELEZA USHIRIKIANO.
10 Jul 2020 13:10 - Grace Melleor

Tanzania na China zimeahidi kuendeleza ushirikiano wa kidiplomasia ili kuhakikisha kuwa nchi hizo zinakuwa na maendeleo  [ ... ]

Breaking News: DKT HUSSEIN MWINYI APITISHWA KUWA MGOMBEA URAIS ZANZIBAR.
10 Jul 2020 10:45 - Grace Melleor

Mkutano wa Halmashauri Kuu ya CCM umempitisha Dkt Hussein Mwinyi kuwa mgombea wa Urais wa Zanzibar baada ya kupata kura  [ ... ]

MAONESHO YA NANENANE KITAIFA KUFANYIKA SIMIYU TENA.
08 Jul 2020 16:48 - Grace Melleor

Serikali imetangaza kuanzia tarehe 01 hadi 08 Agosti, 2020 kutafanyika maadhimisho ya sikukuu ya wakulima Nanenane ambap [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.