Star Tv

Chama cha Mapinduzi CCM mkoa wa Dar es Salaam Kimemsaidia  mwanachama wake mpya faini ya shilingi milioni 30 Dkt. Vicent Mashinji ambaye alikutwa na hatia kwenye makossa kadhaa  aliyomewa na katika mahakama ya hakimu mkazi hapo jana Machi 10,2020.

Add a comment

Waziri wa afya na mbunge wa chama cha Conservative nchini Uingereza Nadine Dorries amekutwa na maambukizi ya virusi vya corona.

Add a comment

Viongozi mkoani Tabora wameiomba serikali kuhakikisha inawakamata watu waliohusika katika tukio la mauaji ya Diwani wa Kata ya Usunga Alfed Masamalo wilayani Sikonge mkoani Tabora.

Taarifa na Sunday Kabaye

Add a comment

Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam imemhukumu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Freeman Mbowe na wenzake kulipa faini ya Shilingi Milioni 350 ama kwenda jela miezi 5 baada ya kupatikana na hatia kwenye makosa 12 likiwemo la kufanya maandamano.

Add a comment

Mwanamke aliyejulikana kwa jina la Happiness Israel anadaiwa kupigwa risasi ya paja na mpenzi wake Salum Athman chanzo kikiwa bado hakijajulikana.

Tukio hilo limetokea katika Hoteli ya Kilimanjaro Mtaa wa Nyamalembo Mjini Geita ambapo wapenzi hao walichukua chumba na kukaa hapo kwa siku mbili.

Taarifa na Salma Mrisho.

Add a comment

Mwenyekiti wa Ngome ya Wazee wa Chama cha ACT Wazalendo Wilson Mushumbusi ameiomba Serikali kuunda Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi itakayosimamia uchaguzi mkuu unaotarajia kufanyika mwishoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu kwa kuzingatia misingi ya haki na demokrasia.

 Taarifa na Rachel Dickson.

Add a comment

Mahakama ya hakimu mkazi kisutu jijini Dar es salaam imemuhukumu Meneja Uwezeshaji wa Kampuni ya Yapi Merkezi inayojenga reli ya kisasa ya SGR kulipa faini ya shilingi milioni 100 au kwenda jela miaka mitatu.

Taarifa na Adam Damian.

Add a comment

Wafanyabiashara wa maduka makubwa ya mavazi na vifaa vingine maeneo ya Kariakoo jijini Dar es salaam wameingiwa na hofu ya kushindwa kurejesha mikopo waliyokopa kutoka taasisi za fedha kutokana na kuwepo kwa zuio la kusafiri kwenda china kununua bidhaa baada ya kusambaa kwa maambukizi ya virusi vya corona nchini humo.

 Taarifa na Athuman Mihula.

Add a comment

Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Tanzania TEC Padre Dokta Charles Kitima amesema kipindi cha kwaresima ni fursa ya kujitafakari na kumpa Mungu nafasi ya kwanza katika maisha pamoja na kutambua nafasi ya Mwenyezi Mungu kwa maisha ya kila siku kwa wakristo na wasio wakristo.

Taarifa na Piensia Rugarabamu

Add a comment

Latest News

MIKE POMPEO: CHINA NA URUSI ZINAFICHA TAARIFA ZA CORONA.
26 Mar 2020 10:23 - Grace Melleor

Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani Mike Pompeo amedai kuwa serikali za Urusi na China zinajiepusha kutoa taarifa sahihi  [ ... ]

RAIS MAGUFULI:OFISI YA CAG FANYENI KAZI MSITISHWE.
26 Mar 2020 10:04 - Grace Melleor

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania John Pombe Magufuli ameitaka Ofisi ya CAG kufanya kazi kwa bidii na weledi pasip [ ... ]

WAZIRI WA ULINZI SUDAN AFARIKI DUNIA.
25 Mar 2020 10:24 - Grace Melleor

Waziri wa Ulinzi wa Sudan, Luteni Jenerali Jamaleldin Omar, amefariki  kufuatia mshtuko wa moyo akiwa Sudan Kusini waka [ ... ]

Other Articles

Social Media

Copyright © 2020 . Star Tv - Tanzania. All Rights Reserved.